Ni klabu yenye vikombe vingi zaidi? Au ile yenye mapato makubwa zaidi? Au yenye wafuasi wengi zaidi katika mitandao ya kijamii? Ama klabu yenye uwanja mkubwa zaidi wa soka? Katika mjadala huu hakuna ...
Miaka kadhaa iliyopita, mabingwa wa kihistoria Tanzania, klabu ya Yanga ilizuiwa kufikia rekodi ya kucheza michezo 50 mfululizo ya ligi kuu Tanzania bara bila kupoteza. Ni klabu ya Ihefu, ambayo ...